Skip to main content
Skip to main content

Othaya katika kaunti ya Nyeri ina idadi ndogo sana ya waliojisajili kama wapiga kura

  • | Citizen TV
    279 views
    Duration: 1:36
    Eneo Bunge la Othaya kaunti ya Nyeri ndilo limejikokota zaidi kwenye idadi ya waliojisajili kama wapiga kura wapya kufikia siku ya jumanne. Kwa mujibu wa takwimu za tume ya uchaguzi tawi la Nyeri, wapiga kura wapya 75 pekee wamesajiliwa eneo hili, ikilinganishwa na lile na Nyeri mjini linaloongoza maeneo bunge yote sita ya kaunti hiyo na Sajili ya wapiga kura wapya 607.