Skip to main content
Skip to main content

EACC yavamia makazi ya Gavana Nyaribo, yakichunguza zabuni ya Sh382M na madai ya kujilipa Sh18M

  • | TV 47
    103 views
    Duration: 2:18
    EACC yavamia makazi ya Gavana Nyaribo na maafisa wa kaunti. EACC inachunguza kandarasi ya shilingi milioni 382 ambazo zilitolewa kwa kazi hewa. EACC inachunguza zabuni ya kampuni moja kujenga afisi za kaunti. Nyaribo anachunguzwa pia kwa kujilipa shilingi milioni 18. EACC inasema kuwa ina amri tano za mahakama kumchunguza Nyaribo. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __