Polisi Mkenya aliyeuawa Haiti azikwa

  • | KBC Video
    337 views

    Familia, marafiki, wafanyakazi na baadhi ya viongozi wa kisiasa walijitokeza kumuaga Constable Samuel Tompoi mwenye umri wa miaka 31 aliyefariki alipokuwa akisaidia kudumisha usalama nchini Haiti. Tompoi ambaye alifariki akiwa kazini, alikumbukwa kwa bidii na kujitolea kwake mhanga kazini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive