30 Oct 2025 10:31 am | Citizen TV 2,133 views Duration: 1:34 Polisi walilazimika kutumia nguvu kuifungua barabara ya Kisumu–Busia eneo la Buyangu, kaunti ya Vihiga, baada ya wakaazi wa Emuhaya kuifunga kwa saa kadhaa wakilalamikia kuongezeka kwa visa vya ukosefu wa usalama.