- 4,488 viewsTaifa la Qatar limekuwa msitari wa mbele katika juhudi za kutafuta amani kwenye baadhi ya mizozo inayoathiri maeneo kadhaa duniani. Na baada ya kikao cha Jumanne, ambapo Kiongozi wa taifa hilo aliwakutanisha Marais wa Rwanda na Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Qatar imeonekana kuorodheshwa katika kundi la mataifa kama vile Marekani, Milki za Falme za Kiarabu, Saudi Arabia na mengine mengi ambayo yanajaribu kusitisha vita katika bara Ulaya, Mashariki ya kati na hata hapa Afrika. Sasa je, ni kwa nini nchi hiyo imepata umaarufu mkubwa katika juhudi za kusaka amani duniani?. Leila Mohammed anaelezea zaidi. #bbcswahili #qatar #DRC Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Juhudi za Qatar kutafuta amani DRC zitafanikiwa?
- 31 Mar 2025 - Police in Eldoret have arrested a middle-aged man over alleged involvement in a child trafficking syndicate in Uasin Gishu County. According to police investigations, the mastermind of the alleged syndicate is said to be working in cahoots with a…
- 31 Mar 2025 - Kenya engages US to safeguard exports amid Trump's tariff war
- 31 Mar 2025 - Endometriosis ruined my joy, health, and almost took my life
- 31 Mar 2025 - Why President is exposed without these five men from Mt Kenya
- 31 Mar 2025 - Parents anxious over flaws in senior school placement system
- 31 Mar 2025 - Babies exposed to HIV infection in drugs crisis
- 31 Mar 2025 - Ten counties flagged for bypassing official payroll systems to pay staff
- 31 Mar 2025 - Detectives arrest eight in Nairobi fake title deeds syndicate
- 31 Mar 2025 - Hospital uses TikTok talks to transform maternal care
- 31 Mar 2025 - At the Gilgil Sub-County Mortuary, grief-stricken relatives of the late David and Paul Mwangi grapple with the shock and pain of their sudden and tragic deaths. The brothers were heading to Naivasha when the fatal accident occurred.