Utafiti waonyesha utumiaji wa baiskeli ni nia mwafaka wa kumaliza umaskini

  • | NTV Video
    68 views

    Utafiti umeonyesha utumiaji wa baiskeli ni njia mwafaka ya kumaliza umaskini huku familia za hadhi ya chini mashinani zikiongeza mapato na kuimarisha maisha iwapo zinatumia baiskeli ikilinganishwa na zile zisizotumia mbinu hii ya usafiri.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya