Lalit Patidar amevunja rekodi ya dunia ya kuwa na sura yenye nywele nyingi zaidi.
Zaidi ya 95% ya uso wa kijana huyu wa kihindi mwenye umri wa miaka 18 umejaa nywele. Ana hali ya nadra sana inayoitwa hypertrichosis, pia inajulikana kama 'werewolf syndrome', ambayo husababisha ukuaji wa nywele nyingi.
Kumekuwa na karibu kesi 50 zilizorekodiwa katika historia ya binadamu.
📹 Guinness World Records
#bbcswahili #indian #rekodi
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
23 Mar 2025
- President William Ruto's tray of disregarded promises continues to weigh heavy after he onboarded more advisors to his administration amid austerity measures.
23 Mar 2025
- Njuri Ncheke, the Council of Elders for the Meru has welcomed the nomination of lawyer Linda Kiome as the new Deputy Governor for Meru County.
23 Mar 2025
- Most of the regions affected by the disease are in Eldas and Wajir West where the Wajir County Government has started fumigation targeting over 10,000 households.