Wazazi na wafanyabiashara waandaa warsha ya wanafunzi

  • | Citizen TV
    80 views

    Wazazi na wafanyabiashara mjini nanyuki wameandaa warsha maalum kwa wanafunzi wa shule ya msingi ya St Christopher kuwaonyesha jinsi ya kufanya biashara na kujitegemea