Walimu walalamikia mfumo wakidai unabagua wanafunzi

  • | Citizen TV
    96 views

    Viongozi wa vyama wa Walimu katika kaunti ya Kajiado wanatoa wito kwa makachero wa DCI kuchunguza visa vya kuondolewa kwa maelezo ya baadhi ya wanafunzi kwenye mfumo wa Kitaifa wa kuthibiti elimu NEMIS ambayo imewaacha wanafunzi wengi nje na hivyo kukosa ufadhili wa serikali