Kituo cha Riandira Mwea West kimefungwa

  • | Citizen TV
    168 views

    Kituo cha polisi cha Riandira katika eneobunge la Mwea magharibi, kaunti ya Kirinyaga kimefungwa huku maafisa waliokuwa wakihudumu hapo wakiondolewa kwa madai ya deni la kodi ya zaidi ya shilingi Milioni mbili