Wachuuzi wa Nyamarambe walalamikia ugavi wa vituo

  • | Citizen TV
    179 views

    Mamia ya wachuuzi kutoka Nyamarambe kule Nyamarambe Mugirango Kusini wameandamana kufuatia madai ya ufisadi na mapendeleo kuwapa vibanda vya kuuza bidhaa zao