Mahakama yakataa kuwaachilia kwa dhamana washukiwa

  • | Citizen TV
    1,785 views

    Washtakiwa watatu wa mauaji ya aliyekuwa meneja wa Wells Fargo Willis Ayieko watasalia rumande, baada ya korti kutupilia mbali ombi lao la kuachiliwa kwa dhamana