Vijana waanzisha mradi wa samaki ili kuepuka uhalifu

  • | Citizen TV
    83 views

    Kutokana na ongezeko la ukosefu wa ajira kaunti ya Taita Taveta mtaa wa kaloleni ni miongoni mwa mitaa mjini Voi ambayo idadi kubwa ya vijana wamegeukia mihadarati na uhalifu