Wakazi wajadili changamoto na mafanikio ya bima ya SHA

  • | Citizen TV
    234 views

    Mjadala wa Jambo Kenya katika Radio Citizen uliwasili katika ukumbi wa kanisa la PAG mtaani Kibra, ukiwaleta pamoja wakazi wa eneo hilo kujadili mfumo wa Bima ya Afya ya SHIF