Wakazi wafunzwa kuhusu ugonjwa wa saratani Kitengela

  • | Citizen TV
    88 views

    Wanawake wameombwa kujitokeza ili kupimwa na kutambua hali yao ya saratani mapema ili kupunguza maafa kutokana na magonjwa haya