Wakazi walilia haki kufuatia mauaji ya polisi Bumula

  • | Citizen TV
    92 views

    Wakaazi wa Bumula wamefanya maandamano ya amani kwenye barabara kuu ya kutoka Mateka kuelekea Bumula, wakilalamikia kucheleweshwa kwa uchunguzi kuhusiana na kifo cha aliyekuwa afisa wa polisi George Makhanua, maarufu kama Salim