Mwanamke wa miaka 29 alitoweka kutoka Dagoretti

  • | Citizen TV
    436 views

    Familia moja katika kijiji cha Waithaka, eneo bunge la Dagoretti Kusini inalilia haki kufuatia kupotea kwa mwanao mwenye umri wa miaka 29