Sherehe za kuwaaga kundi la 3 wauguzi wanagenzi lafanyika MKU Thika, wataelekea Ujerumani Ijumaa

  • | TV 47
    4 views

    Sherehe za kuwaaga kundi la 3 wauguzi wanagenzi lafanyika MKU Thika.

    Makundi hayo wanatarijia kuenda uanagenzi wa Uuguzi Ujerumani.

    Kundi la 3 litaondoka Ijumaa kuelekea Ujerumani.

    MKU imeshirikiana na Chuo Kikuu cha Hochschule Koblenz.

    Wanalenga kuwafunza wasaidizi wa huduma za afya Ujerumani.

    Wanafunzi wamehakikishiwa nafasi za kazi nchini Ujerumani.

    MKU inalenga kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya wafanyakazi wa afya.

    Wanafunzi wanahitajika kufikia kiwango cha B2 cha lugha ya Kijerumani.

    Wanafunzi hupokea mshahara wakati wa mafunzo Ujerumani.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __