IEBC huko Nyahururu kuanza kuhamasisha wapiga kura

  • | Citizen TV
    92 views

    Washikadau katika mchakato wa kisiasa na uchaguzi nchini wamnaaka ushirikiano wa pamoja katika kuelimisha wakenya kuhusu kushiriki kwao katika usimamizi wa vyama vya kisiasa na michakato ya uchaguzi