Mjadala wa Jambo Kenya wafanyika kanisani PAG, Kibra

  • | Citizen TV
    124 views

    Mjadala wa Jambo Kenya katika Radio Citizen uliwasili katika ukumbi wa kanisa la PAG mtaani Kibra, ukiwaleta pamoja wakazi wa eneo hilo kujadili mfumo wa Bima ya Afya ya SHIF