Wafanyabiashara sokoni Nyamarambe waandamana kulalamikia ufisadi kwenye upeanaji wa vibanda

  • | Citizen TV
    127 views

    Makumi ya wachuuzi kutoka Nyamarambe kule NYAMARAMBE Mugirango Kusini kwa siku ya pili waandamana kufuatia madai ya ufisadi na mapendeleo kuwapa vibanda vya kuuza bidhaa zao. Wakizungumza katika soko hilo la Nyamarambe jumatatu, wafanyibiashara hao waliokuwa na ghadhabu wakitaka gavana wa kaunti ya Kisii Simba Arati kuingilia kati swala hilo upesi la.sivyo maandamano yatakuwa yakishihudiwa kila siku. Ata hivyo viongozi akiwemo mwenyekiti mpya wa Soko hilo Dennis Kenyanya wakikana madai hayo akisema watafanya mkutano na wachuuzi ili maelewano yapatikane.