Serikali ya Kaunti yatoa mbegu na kufunza wakulima

  • | Citizen TV
    112 views

    Zaidi ya wakulima elfu thelathini na tano kutoka kaunti ndogo mbali mbali katika kaunti ya Homa bay wanaendelea kupata mafunzo na mbegu kutoka kwa serikali ya kaunti ya Homa Bay