Waititu kusalia korokoroni hadi Aprili 23

  • | KBC Video
    3,775 views

    Ferdinand Waititu atasalia gerezani hadi tarehe 23 mwezi Aprili wakati mahakama kuu itakapoangazia ombi lake la pili la kutaka kuachiliwa kwa dhamana, huku akifanya juhudi za kukata rufaa dhidi ya kifungo chake cha miaka 12 gerezani. Jaribio lake la kwanza liligonga mwamba tarehe 3 mwezi Machi baada ya hakimu Lucy Njuguna kutupilia mbali ombi hilo ,akisubiri kusikizwa na kuamuliwa kwa rufaa yake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive