Zelensky asema Urusi haitaki kupata amani ya kweli

  • | BBC Swahili
    2,136 views
    Rais wa Ukraine Volodomyr Zelensky amesema kwamba serikali ya Moscow haina hamu ya kupata amani ya kweli, baada ya vikosi vya Urusi kutumia ndege zaidi ya elfu moja zisizokuwa na rubani kulenga maneo ya Ukraine, usiku kucha. Mashambulizi haya yamefanyika saa chache baada ya Marekani kutangaza kwamba Ukraine na Urusi zimekubaliana kusitisha vita kwenye bahari nyeusi kwa muda. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw