Skip to main content
Skip to main content

Maandamano Tanzania | Watu kadhaa wakamatwa, vyuo vikuu kufungwa kwa muda usiojulikana

  • | Citizen TV
    57,980 views
    Duration: 2:35
    Hali tete inazidi kushuhudiwa katika taifa jirani la tanzania huku maandamano ya uchaguzi yakiingia siku ya pili. Watu kadhaa wametiwa mbaroni kufuatia machafuko hayo huku wizara ya elimu ikitangaza kuwa vyuo vikuu visalie kufungwa kwa muda usiojulikana