- 19 viewsDuration: 2:11Killian Nyambu, NCIC Deputy Director, Public Education and Engagement : Vijana lazima wawe kwenye mstari wa mbele kwa kujiandikisha na hata kushiriki katika zoezi la kupiga kura, kwa sababu viongozi wabaya huchaguliwa na raia wema wasiopiga kura. Watu waondoe ile kasumba ya kwamba kiongozi bora ni ule ananipa hela nyingi. #AmaniKwaGround
