Wanafunzi wanahitaji viti vya magurudumu Keiyo Kaskazini

  • | Citizen TV
    60 views

    Shule ya mindililwo katika eneo bunge la keiyo kaskazini, kaunti ya elgeyo marakwet, imepokea msaada wa ujenzi wa ua kutoka shirika la proudly kenya, ambao umegharimu shilingi milioni 6.7