Serikali yawatuma maafisa maalum kurejesha utulivu eneo la Baragoi

  • | Citizen TV
    622 views

    Kilio cha kuondolewa Kwa kikosi maalum Cha usalama eneo la Baragoi kaunti ya samburu , hatimaye kimesikizwa huku serikali ikiwatuma maafisa maalum wa kusalama kushika doria eneo hilo kwa mara nyingine tena. Hatua hiyo imeonekana kurejesha utulivu Baragoi huku sasa wakazi na viongozi wakitaka mazungumzo baina ya jamii zote ili amani ya kudumu ipatikane.