Uhaba mkubwa wa samaki waripotiwa katika maeneo mbalimbali ya mji wa Malindi

  • | Citizen TV
    317 views

    Uhaba mkubwa wa samaki umeripotiwa katika maeneo mbalimbali ya mji wa Malindi,na haswa maeneo ya Mayungu, Shella, Shalishali, Ngomeni, na Marereni.