Chuo kikuu cha Nairobi chakumbwa na mgogoro wa uongozi

  • | Citizen TV
    224 views

    Muungano Wa Wahadhiri Wa Uasu Umeitaka Wizara Ya Elimu Kuingilia Kati Mzozo Wa Uongozi Wa Chuo Kikuu Cha Nairobi Baina Ya Usimazi Wa Chuo Hicho Ukiongozwa Na Naibu Chansela Na Baraza La Chuo Hicho. Mzozo Huo Umelemaza Huduma Katika Chuo Hicho. Wahadhiri Sasa Wanataka Wizara Hiyo Kulitimua Baraza Zima La Chuo Hicho Siku Moja Baada Ya Waziri Wa Elimu Julius Migos Kuandikia Baraza Hilo Barua Ya Kulizuia Kuandaa Mikutano Yoyote Hadi Uchunguzi Kuhusu Madai Ya Ubadhirifu Wa Fedha Za Chuo Hicho Ukamilike.