'Nina piga gitaa za aina zote licha ya kuwa sioni'

  • | BBC Swahili
    373 views
    Daniel Maige na kundi lake ulemavu sio kikwazo, kwani licha ya kutoona wanatumia vipawa vyao vya muziki kutunga nyimbo na kupiga ala mbalimbali za muziki kwenye Barabara za Jiji la Dar es salaam. Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds aliwatembelea na kuandaa tarifa ifuatayo. #bbcswahili #tanzania #ulemavu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw