31 Oct 2025 10:34 am | Citizen TV 144 views Duration: 1:45 Chuo cha Utafiti na Mafunzo ya Wanyamapori (WRTI) kilichoko mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi, kimepokea ufadhili wa vifaa vya kisasa vya utafiti vyenye thamani ya shilingi milioni 6.