Serikali yatakiwa kuratibu sera mwafaka ya uchimbaji madini

  • | KBC Video
    13 views

    Wadau katika sekta ya madini wanahimiza bunge la kitaifa na Seneti kuharakisha uratibu wa sera za kufanikisha ustawi wa sekta hiyo. Wakiongea kwenye mkutano mkuu wa kila mwaka wa chama cha wadau wa sekta ya madini humu nchini ulioongozwa na mwenyekiti wa chama hicho Dr Patrick Kanyoro wadau hao walisema bunge lina wajibu mkubwa wa kulainisha shughuli kwenye sekta hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News