Kanisa laitaka serikali kuwawezesha vijana

  • | KBC Video
    8 views

    :Kanisa limetoa wito kwa wizara ya masuala ya vijana, uchumi bunifu na michezo kuunga mkono ushirikishi wa vijana katika mipango ya kanisa. Wakati wa uzinduzi wa kwaya katika kanisa la Good News Afrika jijini Nairobi uongozi wa kanisa hilo ulikariri haja ya serikali ya kuwapa vijana uwezo..

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive