Kamati maalum imeundwa kuchunguza na kuthibitisha madeni ya NHIF

  • | Citizen TV
    219 views

    Wizara ya Afya hii leo imezindua Kamati ya kuthibitisha madeni ya hazina ya bima ya NHIF ili kushughulikia madeni ambayo hospitali zinadai hazina hiyo