Wateule wa nafasi za ubalozi wameanza kuhojiwa rasmi

  • | Citizen TV
    324 views

    Kamati ya bunge kuhusu masuala ya kigeni inaendelea kuwahoji walioteuliwa kuchukua nyadhifa za ubalozi, ambapo Mhandisi Peter Tum, aliyeteuliwa kuhudumu mjini Kinshasa, nchini DRC, ametakiwa kuelezea kashfa ya shilingi bilioni 3.7 katika sakata ya vyandarua vya mbu