Waziri Murkomen anaongoza operesheni maalum ya usalama

  • | Citizen TV
    108 views

    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen na maafisa wengine wakuu wa usalama wanazuru kaunti sita za pwani kutathmini hali ya usalama kufuatia uvamizi wa magenge ya vijana wanaojitaja kama panga boys