Wanafunzi wa Butere Girls waligoma kushiriki maigizo hayo, wakaimba wimbo wa taifa na kuondoka

  • | Citizen TV
    63,698 views

    Wanafunzi wa shule ya upili ya wasichana Butere wamesusia hafla ya maigizo yanayoendelea katika shule ya Lions jijini Nairobi. wanafunzi hao wamedinda kuigiza tamthilia ya "Echoes of War" baada ya umma kuzuiwa kuhudhuria hafla hiyo