Kazi Ni Kazi: Mpishi Hodari Ali Mohamed

  • | KBC Video
    12 views

    Mafunzo na upokeaji wa ujuzi kutoka kwa wazazi ni mojawapo ya mbinu ambazo zimekumbatiwa na wengi kwa miongo mingi kwa nia ya kukuza biashara. Katika makala ya Juma hili ya Kazi ni Kazi Mwanahabari Fredrick Muoki anamwangazia mpishi Hodari Ali Mohamed Ali, aliyefaidika na Mafunzo ya upishi kutoka kwa babake na sasa anaiendeleza biashara ya upishi jijini Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive