Waziri wa mazingira Debora Mlongo azidisha kampeni ya upanzi wa mti Kakamega

  • | Citizen TV
    128 views

    Wazari wa mazingira Deborah Mlongo anawashinikiza wakenya kukumbatia upanzi wa miche hasa miti ya matunda wakati huu wa mvua ya masika.