Wahudumu wa afya wa UHC Bungoma waandamana

  • | Citizen TV
    92 views

    Shughuli za matibabu zilitatizika mjini Bungoma kwa muda baada ya wahudumu wa afya walioko chini ya mpango wa uhc kuandamana kuitaka serikali iwape kandarasi za ajira ya kudumu.