Dhiki ya walemavu

  • | Citizen TV
    96 views

    Walemavu katika kaunti ya busia wameitaka serikali kupitia kwa mpango wa inua jamii kuwasaidia ili kuwawezesha kusukuma gurudumu la maisha.