Waziri wa Elimu, Julius Migos Ogamba, ameomba chama cha wahadhiri wa vyuo vikuu kukubali kulipwa malimbikizo yao ya shilingi bilioni 7.9 kwa awamu mbili zitakazokamilika mwaka 2027. Ogamba alisema kucheleweshwa kwa malipo hayo kumechangiwa na sababu za kihistoria, ambapo hayakujumuishwa kwenye. Mzozo huo huenda ukaendelea baada ya vyama vya wahadhiri kushtumu serikali kwa kutokuwa na uaminifu huku vikisema mgomo utasitishwa tu pale malimbikizi yao ya shilingi bilioni 7.9 yatakapolipwa kwa mpigo wala sio kwa awamu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive