Miili ya watu wawili waliotumbukia mtoni Kirinyaga yatafutwa

  • | Citizen TV
    337 views

    Shughuli ya kuopoa miili ya watu wawili waliofariki baada ya gari lao kutumbukia katika mto wa Nyamindi kwenye daraja la Kaboro huko Gichugu kaunti ya Kirinyaga inaendelea.