Wahudumu wa afya waandamana Bungoma wasema wanataka mikataba ya kudumu

  • | NTV Video
    91 views

    Wahudumu wa afya chini ya mpango wa Huduma ya Afya kwa Wote (UHC) katika Kaunti ya Bungoma wamefanya maandamano ya amani kwa Bunge la Kaunti na afisi za Gavana Kenneth Lusaka, kwa nia ya kuishinikiza serikali ya kaunti kutekeleza matakwa yao.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya