Dr Aggrey Boys Face Lukenya in Tough Brookside Semis Clash

  • | K24 Video
    82 views

    Baada ya kufuzu kwa nusu fainali ya michezo ya Brookside ya shule za upili, mabingwa watetezi wa mpira wa kikapu kwa wavulana, Dr Aggrey, wanajiandaa kwa mtihani mgumu dhidi ya Lukenya hapo kesho.Katika mechi nyingine, mabingwa wa wasichana Butere watavaana na shule ya Olympic, huku vigogo wa mchezo wa raga wakitarajiwa kumenyana na Kisii.