Serikali yatahadharisha dhidi ya siasa shuleni

  • | KBC Video
    116 views

    Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen amesema serikali inathamini uhuru wa kujieleza na hailengi kumdhibiti au kumzuia yeyote kujieleza. Akizungumza katika Kaunti ya Tana River, Murkomen alisema serikali haikuwahi kuingilia au kuvuruga mchezo wa kuigiza wa ‘Echoes of War’ ambao ulipaswa kuigizwa na wanafunzi wa shule ya wasichana ya Butere siku ya alhamisi wakati wa Tamasha la 63 la Kitaifa la Michezo ya kuigiza na Filamu katika Kaunti ya Nakuru. Waziri alisema kile ambacho serikali inapinga ni wanasiasa wanaotumia shule kutatua tofauti za kisiasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive