Mpango wa ruzuku ya mashine kwa wakulima kufadhiliwa na benki ya Absa

  • | KBC Video
    32 views

    Mpango wa kuwawezesha wakulima zaidi ya 300,000 kupata ruzuku ya mashine za kutumia katika mashamba yao kupitia ushirikiano baina ya serikali za kaunti, kampuni za vifaa na zile za uundaji trekta umezinduliwa. Mkurugenzi wa shughuli katika benki ya Absa, Elizabeth Wasunna-Ochwa amesema kupitia mpango huo, wenye mashamba kwenye ardhi ya ekari 150,000 wataanza kutumia mashine katika shughuli zao kwennye hatua itakayobuni nafasi 3,000 za ajira. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive