Usaili wa makamishna wapya wa IEBC waingia siku ya 14

  • | KBC Video
    24 views

    Mchakato wa kukuza uongozi mpya katika uchaguzi ujao uliingia awamu muhimu huku jopo la uteuzi wa makamishna wapya wa tume ya IEBC ikikamilisha siku yake ya 14 ya usaili wa wawaniaji. Wawaniaji watatu zaidi walipigwa msasa ambapo kila mmoja anatumai kunyakua wadhifa wa ukamishna wa tume hiyo kwa uadilifu,tajriba, na maono kwa ajili ya kuafikia uwazi kwenye uchaguzi nchini. Mwanahabari wetu Ben Chumba na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive