Wangamati atiwa nguvuni na makachero wa EACC

  • | KBC Video
    270 views

    Aliyekuwa gavana wa Bungoma Wycliffe Wangamati leo alitii mwaliko wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi ,kwa kujiwasilisha mwenyewe kwa ofisi za tume hiyo huko Bungoma. Wangamati anachunguzwa kwa madai ya wizi wa pesa za umma kupitia utoaji zabuni za ujenzi wa barabara za zaidi ya shilling million 70 kwa kampuni zinazohusishwa na jamaa zake.Zabuni hizo zilitolewa katika vipindi vya matumizi ya pesa vya mwaka 2017/2018 na 2021/2022.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive